Tuesday, May 15, 2018

ZANZIBAR HAS THE BEST SEAFOODS EVER

When you are still thinking where to have the best seafood and you have got no answer yet www.zaraha.com has got the answer for.
Zanzibar is the best for seafood ever 
The basic food when you came to Zanzibar Island is seafood,We have got a beautiful Indian Ocean which has got everything you needs when you come seafoods and always fresh from the the sea.

As you can see here at the fish market everything are fresh from sea 
Welcome to the Zanzibar feel the test of Island and enjoy the Natural.

There are many things to experience on this natural Island visit and book with www.zanraha.com
We care about your feelings and your expectations.

MAMA KANUMBA AMEMLILIA LULU BAADA YA KUTOKA GEREZANI

Mama kanumba amefunguka baada ya Lulu kutoka gerezani.

Mama kanumba ameseha hii yote imetoka a na yeye kutokua na pesa ndio chanzo cha kutopata haki.

Monday, May 14, 2018

LULU AACHIWA KUTOKA GEREZANI


Leo May 14, 2018 Taarifa iliyotufikia muda huu ni kumhusu Muigizaji wa filamu nchini, Elizabeth Michael marufu kama Lulu, amebadilishiwa adhabu kwa amri ya Mahakama Kuu ya Tanzania na sasa atatumikia kifungo cha nje.
Lulu alihukumiwa kifungo cha miaka miwili gerezani baada ya kupatikana na hatia ya kuua bila kukusudia.
Hukumu ya kesi hiyo ilisomwa na Jaji wa Mahakama Kuu, Sam Rumanyika, ambaye baada ya kusikiliza utetezi kutoka kwa mawakili wa upande wa mshtakiwa alitoa hukumu.
Lulu, alishtakiwa kwa kesi ya kumuua bila kukusudia, aliyekuwa muigizaji maarufu wa filamu nchini na nje ya nchi, Steven Kanumba ambaye pia alikuwa mpenzi wake.

Sunday, May 13, 2018

ZANZIBAR ISLAND IS THE BEST ISLAND FOR SNORKLING AROUND THE WORLD


Zanzibar Island is the best among of the beautiful and natural Island around the world.

When you come to Zanzibar there are a lots of natural things you can see and experience your self.


Why we said Zanzibar is the best for snorkling?
Zanzibar has got clean Indian ocean which contains a lots of wonders when you do snorkling

The sea is beautiful and natural of God's creations
There are lots of amazing and wonders to see.

 If you still thinking where to go for snorkling? 
You are not late yet visit and book with www.zanraha.com have your privet excursions.

Where we treat everybody as a VIP.

Friday, May 11, 2018

Mkali wa RNB Craig David karudi kwa kasi na Magic

Kwa watu ambao ni wafuatiliaji wa muziki hususani nyimbo za miaka ya nyuma basi ukitaja jina la Craig David huwezi kuliacha kwenye orodha ya wasanii wa muziki wa R’n’B wakali duniani.

Craig kutoka Uingereza, amerudi kwa kuachia video ya wimbo wake mpya wa MAGIC ambao amemshirikisha Baney Boy.
Kwa mwaka 2018 tayari mkongwe huyo ameachia ngoma mbili mbali na ngoma yake mpya ya Magic, ameachia pia  ‘I know You’ na ‘Live in the moment’ .
Craig David alishawahi kutamba miaka ya nyuma na ngoma kama Walking Away, Seven Days na nyingine kali.

Majibu ya Alikiba kuhusu kushitakiwa Matunzo ya mtoto

Alikiba alipoulizwa swali hilo amesema habari hizo amesema yeye ameziona kwenye Gazeti ila bado hajapata wito wowote ule wa Mahakama lakini ukweli ni kwamba yeye ana mhudumia mwanae vizuri sana kwani anamsomesha na alimtoa kwenye shule ya kawaida na kumleta shule ya gharama zaidi.
“Nimeona kwenye gazeti lakini bado sijaitwa mahali popote, mtoto namhudumia vizuri hata shule nimemtoa aliyokuwa,  nimempeleka shule nzuri zaidi ya ile tena mara tatu zaidi, Nina watoto watatu wakiume mmoja wakike wawili, mipango ya kupata watoto mwenyezi Mungu atakavyojaalia, watatu au wanne mke wangu hana mtoto”  – Alikiba

Video mpya: ROSTAM X "Kharigraph Now you Know"


Msanii wa Hip Hop kutoka Kenya, Khaligraph Jones ameachia video ya ngoma mpya iitwayo ‘Now You Know’ ngoma hii amefanya kwa kushirikiana na kindi la muziki wa Hip Hop Bongo Rostam

Amina afunguka jinsi walivyokutana na Alikiba

                    
                                                      Alikiba na Aminah
Aminah amesema kwa mara ya kwanza walikutana kwenye Ndege na hakuwa anamfahamu vizuri lakini baadaye baada ya kupeana namba za simu alianza kuzoeana naye taratibu.
Mara ya kwanza kukutana na  ilikuwa kwenye ndege na hatukuzungumza mara ya pili Kaka yangu binamu ndiyo alinikutanisha nae maana walikuwa marafiki sana na hapo ndiyo tulianza urafiki wetu kabla ya kufika hapa tulipo,“amesema Bi. Aminah kwenye kipindi cha Leo Tena cha Clouds FM.
Hata hivyo, Bi. Aminah amesema kuwa Alikiba ndiye aliyeanza kumtamkia kuwa anampenda na yeye akamwambia kama ni kweli aende kwa wazazi wake akajitambulishe.
Aliponitamkia anataka kunioa nikamwambia aje nyumbani kwa wazazi wangu na kweli akaja nyumbani kwa wazazi,”.amesema Bi. Aminah.

Monday, May 7, 2018

ALI KIBA APELEKWA MAHAKANA


Mfanyabiashara wa nguo za mitumba jijini Dar es Salaam, Hadija Hassan amefungua kesi katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akimlalamikia Ali Saleh Kiba, maafuru kama Ali Kiba kwa kutotoa matunzo ya mtoto aliyezaa naye.
Kupitia hati ya Mashtaka, mlalamikaji amedai kuwa alijifungua mtoto huyo aliyezaa na Ali Kiba mwaka 2013 katika hospitali ya Mikocheni jijini Dar es Salaam na kwamba hadi sasa mtoto huyo hapati matunzo muhimu kutoka kwa baba yake.
Hadija anaiomba Mahakama kuamuru Ali Kiba awe analipa kiasi cha sh 1.41 milioni kwa mujibu wa sheria, akirejea sheria ya watoto ya mwaka 2009.
Akielezea mgawanyo wa kiwango hicho cha fedha, alisema kuwa kwa mujibu wa sheria, “Ali Kiba anapaswa kutoa huduma kila mwezi, chakula sh 150,000, matunda sh 50,000, chakula cha ziada sh. 50,000, michezo na burudani za watoto sh. 100,000, nguo sh. 60,000 na matibabu shilingi 50,000.

Alisema mbali na huduma hizo tajwa zinazopaswa kutolewa kila mwezi, anaiomba mahakama hiyo kumuamuru mlalamikiwa kutoa sh 950,000 kama ada shule kwa muhula mmoja.
Hadija amefungua kesi hiyo akisaidiwa na Kituo cha Wanawake cha Msaada wa Kisheria 
Mlalamikiwa anayetakiwa kujitetea, alifunga ndoa hivi karibuni na mrembo kutoka Kenya na harusi yake ilivuta usikivu wa Afrika Mashariki hususan Kenya na Tanzania kutokana na ukubwa wa jina lake.

UDAKU | WCB IMEINGILIWA HARMONISE ATEMBEA NA LESO AIBU TUPU


Inasemekana huko WCB mambo yanaenda ndivyo sivyo baada ya mpenzi wa Harmonise a.k.a konde boy Sarah ambaye ni mzungu kuhamishia penzi lake kwa baunsa wa Diamond Platnumz ambae anafahamika Kwa jina la Mwarabu fighter.

Mwarabu fighter & Sarah


Hiyo ni post ya Harmonise ambayo aliipost Instagram.

Visit: www.zanraha.com and book for the best rider on Zanzibar Island

POPULAR EXCURSIONS IN ZANZIBAR ISLAND

Safari blue is the most popular excursion in Zanzibar Island, it's a full day sea Adventure with lunch, snorkling, and enjoying the ...