Craig kutoka Uingereza, amerudi kwa kuachia video ya wimbo wake mpya wa MAGIC ambao amemshirikisha Baney Boy.
Kwa mwaka 2018 tayari mkongwe huyo ameachia ngoma mbili mbali na ngoma yake mpya ya Magic, ameachia pia ‘I know You’ na ‘Live in the moment’ .
Craig David alishawahi kutamba miaka ya nyuma na ngoma kama Walking Away, Seven Days na nyingine kali.
No comments:
Post a Comment
leave your comment