Aminah amesema kwa mara ya kwanza walikutana kwenye Ndege na hakuwa
anamfahamu vizuri lakini baadaye baada ya kupeana namba za simu alianza
kuzoeana naye taratibu.
“Mara ya kwanza kukutana na ilikuwa kwenye ndege na
hatukuzungumza mara ya pili Kaka yangu binamu ndiyo alinikutanisha nae
maana walikuwa marafiki sana na hapo ndiyo tulianza urafiki wetu kabla
ya kufika hapa tulipo,“amesema Bi. Aminah kwenye kipindi cha Leo Tena cha Clouds FM.
Hata hivyo, Bi. Aminah amesema kuwa Alikiba ndiye aliyeanza kumtamkia
kuwa anampenda na yeye akamwambia kama ni kweli aende kwa wazazi wake
akajitambulishe.
“Aliponitamkia anataka kunioa nikamwambia aje nyumbani kwa wazazi wangu na kweli akaja nyumbani kwa wazazi,”.amesema Bi. Aminah.
Based on news, entertainment & natural things and places; where you can go for your holiday and discover the nature of the World mostly based on Zanzibar Island..the best Island and find the natural life for more information visit www.zanraha.com
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
POPULAR EXCURSIONS IN ZANZIBAR ISLAND
Safari blue is the most popular excursion in Zanzibar Island, it's a full day sea Adventure with lunch, snorkling, and enjoying the ...
-
Hatimae mazishi ya aliekua Video vixen Agnes Gerald Masogange yamekamilika hapo nyumbani kwao Mbea Hizi ni baadhi ...
-
Zanzibar food (Pilau) Today I want to tell you about Zanzibar common foods which you don't have to miss when you come to Tanzania e...
No comments:
Post a Comment
leave your comment