Tuesday, May 29, 2018

TEST OF ZANZIBAR FOODS

Zanzibar food (Pilau)

Today I want to tell you about Zanzibar common foods which you don't have to miss when you come to Tanzania especially in Zanzibar.

In Zanzibar we have a lot of foods but as you know on Island the common that you can't miss is seafood but on this island has a lots of choices and some unique food only you find in Zazibar.

That food seen on top called pilau.The basic of this food is rice & meat, but this meal has got lots of mixture in side and it has a long process of clocking.






Here some common foods you can find in Zanzibar.
Please come to Zanziabar and feel the test of Island.
Book with us www.zanraha.com for the best ride on the Island where we care about your feelings & your expectations
Karibu sana (hakuna matata)

Sunday, May 27, 2018

THE PEACEFULLY OF ZANZIBAR TANZANIA



Maybe you can be asking your self why I said that  but the reality is that.
Whatever you go around the World will never find people friendly, helpful, welcoming, charming, smiling & playing together like Zanzibar.
We are welcoming you to see the reality of Peacefully means here will see many wonders you never thought before.

Whatever you see is reality by god's creation.
Anything you eat is fresh in Zanzibar book with www.zanraha.com for more wonders

Friday, May 18, 2018

NATURAL AQUARIUM IN ZANZIBAR ISLAND

When you talk about natural resources Zanzibar is the best, Let me tell you about this natural Aquarium in Zanzibar Island.

We have very beautiful aquarium on Island which located at Nungwi village in Northern Zanzibar.
there you can swim and shake hands as say big JAMBO with TURTLES this place is amazing and will have unforgettable memory.

See some beautiful pictures  over here.








There more wonders you never experience on this natural Island book with [Zanzibar Raha] zanraha.com and experience your self..we care about your feelings and your expectations

welcome to Zanzibar make zanraha.com as your choice.

Tuesday, May 15, 2018

ZANZIBAR HAS THE BEST SEAFOODS EVER

When you are still thinking where to have the best seafood and you have got no answer yet www.zaraha.com has got the answer for.
Zanzibar is the best for seafood ever 
The basic food when you came to Zanzibar Island is seafood,We have got a beautiful Indian Ocean which has got everything you needs when you come seafoods and always fresh from the the sea.

As you can see here at the fish market everything are fresh from sea 
Welcome to the Zanzibar feel the test of Island and enjoy the Natural.

There are many things to experience on this natural Island visit and book with www.zanraha.com
We care about your feelings and your expectations.

MAMA KANUMBA AMEMLILIA LULU BAADA YA KUTOKA GEREZANI

Mama kanumba amefunguka baada ya Lulu kutoka gerezani.

Mama kanumba ameseha hii yote imetoka a na yeye kutokua na pesa ndio chanzo cha kutopata haki.

Monday, May 14, 2018

LULU AACHIWA KUTOKA GEREZANI


Leo May 14, 2018 Taarifa iliyotufikia muda huu ni kumhusu Muigizaji wa filamu nchini, Elizabeth Michael marufu kama Lulu, amebadilishiwa adhabu kwa amri ya Mahakama Kuu ya Tanzania na sasa atatumikia kifungo cha nje.
Lulu alihukumiwa kifungo cha miaka miwili gerezani baada ya kupatikana na hatia ya kuua bila kukusudia.
Hukumu ya kesi hiyo ilisomwa na Jaji wa Mahakama Kuu, Sam Rumanyika, ambaye baada ya kusikiliza utetezi kutoka kwa mawakili wa upande wa mshtakiwa alitoa hukumu.
Lulu, alishtakiwa kwa kesi ya kumuua bila kukusudia, aliyekuwa muigizaji maarufu wa filamu nchini na nje ya nchi, Steven Kanumba ambaye pia alikuwa mpenzi wake.

Sunday, May 13, 2018

ZANZIBAR ISLAND IS THE BEST ISLAND FOR SNORKLING AROUND THE WORLD


Zanzibar Island is the best among of the beautiful and natural Island around the world.

When you come to Zanzibar there are a lots of natural things you can see and experience your self.


Why we said Zanzibar is the best for snorkling?
Zanzibar has got clean Indian ocean which contains a lots of wonders when you do snorkling

The sea is beautiful and natural of God's creations
There are lots of amazing and wonders to see.

 If you still thinking where to go for snorkling? 
You are not late yet visit and book with www.zanraha.com have your privet excursions.

Where we treat everybody as a VIP.

Friday, May 11, 2018

Mkali wa RNB Craig David karudi kwa kasi na Magic

Kwa watu ambao ni wafuatiliaji wa muziki hususani nyimbo za miaka ya nyuma basi ukitaja jina la Craig David huwezi kuliacha kwenye orodha ya wasanii wa muziki wa R’n’B wakali duniani.

Craig kutoka Uingereza, amerudi kwa kuachia video ya wimbo wake mpya wa MAGIC ambao amemshirikisha Baney Boy.
Kwa mwaka 2018 tayari mkongwe huyo ameachia ngoma mbili mbali na ngoma yake mpya ya Magic, ameachia pia  ‘I know You’ na ‘Live in the moment’ .
Craig David alishawahi kutamba miaka ya nyuma na ngoma kama Walking Away, Seven Days na nyingine kali.

Majibu ya Alikiba kuhusu kushitakiwa Matunzo ya mtoto

Alikiba alipoulizwa swali hilo amesema habari hizo amesema yeye ameziona kwenye Gazeti ila bado hajapata wito wowote ule wa Mahakama lakini ukweli ni kwamba yeye ana mhudumia mwanae vizuri sana kwani anamsomesha na alimtoa kwenye shule ya kawaida na kumleta shule ya gharama zaidi.
“Nimeona kwenye gazeti lakini bado sijaitwa mahali popote, mtoto namhudumia vizuri hata shule nimemtoa aliyokuwa,  nimempeleka shule nzuri zaidi ya ile tena mara tatu zaidi, Nina watoto watatu wakiume mmoja wakike wawili, mipango ya kupata watoto mwenyezi Mungu atakavyojaalia, watatu au wanne mke wangu hana mtoto”  – Alikiba

Video mpya: ROSTAM X "Kharigraph Now you Know"


Msanii wa Hip Hop kutoka Kenya, Khaligraph Jones ameachia video ya ngoma mpya iitwayo ‘Now You Know’ ngoma hii amefanya kwa kushirikiana na kindi la muziki wa Hip Hop Bongo Rostam

Amina afunguka jinsi walivyokutana na Alikiba

                    
                                                      Alikiba na Aminah
Aminah amesema kwa mara ya kwanza walikutana kwenye Ndege na hakuwa anamfahamu vizuri lakini baadaye baada ya kupeana namba za simu alianza kuzoeana naye taratibu.
Mara ya kwanza kukutana na  ilikuwa kwenye ndege na hatukuzungumza mara ya pili Kaka yangu binamu ndiyo alinikutanisha nae maana walikuwa marafiki sana na hapo ndiyo tulianza urafiki wetu kabla ya kufika hapa tulipo,“amesema Bi. Aminah kwenye kipindi cha Leo Tena cha Clouds FM.
Hata hivyo, Bi. Aminah amesema kuwa Alikiba ndiye aliyeanza kumtamkia kuwa anampenda na yeye akamwambia kama ni kweli aende kwa wazazi wake akajitambulishe.
Aliponitamkia anataka kunioa nikamwambia aje nyumbani kwa wazazi wangu na kweli akaja nyumbani kwa wazazi,”.amesema Bi. Aminah.

Monday, May 7, 2018

ALI KIBA APELEKWA MAHAKANA


Mfanyabiashara wa nguo za mitumba jijini Dar es Salaam, Hadija Hassan amefungua kesi katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akimlalamikia Ali Saleh Kiba, maafuru kama Ali Kiba kwa kutotoa matunzo ya mtoto aliyezaa naye.
Kupitia hati ya Mashtaka, mlalamikaji amedai kuwa alijifungua mtoto huyo aliyezaa na Ali Kiba mwaka 2013 katika hospitali ya Mikocheni jijini Dar es Salaam na kwamba hadi sasa mtoto huyo hapati matunzo muhimu kutoka kwa baba yake.
Hadija anaiomba Mahakama kuamuru Ali Kiba awe analipa kiasi cha sh 1.41 milioni kwa mujibu wa sheria, akirejea sheria ya watoto ya mwaka 2009.
Akielezea mgawanyo wa kiwango hicho cha fedha, alisema kuwa kwa mujibu wa sheria, “Ali Kiba anapaswa kutoa huduma kila mwezi, chakula sh 150,000, matunda sh 50,000, chakula cha ziada sh. 50,000, michezo na burudani za watoto sh. 100,000, nguo sh. 60,000 na matibabu shilingi 50,000.

Alisema mbali na huduma hizo tajwa zinazopaswa kutolewa kila mwezi, anaiomba mahakama hiyo kumuamuru mlalamikiwa kutoa sh 950,000 kama ada shule kwa muhula mmoja.
Hadija amefungua kesi hiyo akisaidiwa na Kituo cha Wanawake cha Msaada wa Kisheria 
Mlalamikiwa anayetakiwa kujitetea, alifunga ndoa hivi karibuni na mrembo kutoka Kenya na harusi yake ilivuta usikivu wa Afrika Mashariki hususan Kenya na Tanzania kutokana na ukubwa wa jina lake.

UDAKU | WCB IMEINGILIWA HARMONISE ATEMBEA NA LESO AIBU TUPU


Inasemekana huko WCB mambo yanaenda ndivyo sivyo baada ya mpenzi wa Harmonise a.k.a konde boy Sarah ambaye ni mzungu kuhamishia penzi lake kwa baunsa wa Diamond Platnumz ambae anafahamika Kwa jina la Mwarabu fighter.

Mwarabu fighter & Sarah


Hiyo ni post ya Harmonise ambayo aliipost Instagram.

Visit: www.zanraha.com and book for the best rider on Zanzibar Island

Saturday, May 5, 2018

STAMINA AFUNGA NDOA LEO


Msanii nguli wa hip-hop hapa nchini Stamina amefunga ndoa Leo huko nyumbani kwao Morogoro katika kabisa la mtakatifu Consolatha.

Hongera sana Kaka mkubwa Mungu awe msimamizi katika ndoa yenu.

KINACHOENDELEA MATIBABU YA MZEE MAJUTO INDIA


Habari zilizotufikia zinaeleza yakwamba Mzee Majuto muigizaji maarufu hapa nchini yupo India kwaajili ya matibabu

Mzee Majuto alipelekwa India kufuatia Hali yaku kua mbaya,  alifanyiwa upasuaji wa tenzi dume miezi kadhaa iliopita.

Kwa sasa Mzee wetu anaendelea visuri akiwa kwenye uangalizi mzuri wa madaktar huko India.

Kwa pamoja tumuombee mzee wetu apone haraka na arudi kwenye afya njema ili aendelee na shughuli zake za kujenga Taifa.

Thursday, May 3, 2018

VIDEO | DOGO JANJA SHULE ZERO ANGALIA HAPA


BAADA YA VIDEO YAO BILL NASS & NANDY KUVUJA LEO BILL NASS AMEFUNGUKA HIVI!


Achana na stori za mambo ya video ya kufuli, Bill Nass ayari kuna kuna ngoma ameshafanya na Nandy muda ukifika wataachia.

Hit maker huyo wa Tagi Ubavu amesema hayo katika kipindi cha Kikaangoni cha EATV na kuongeza kuwa mrembo huyo ni rafiki yake tu kwa sasa.

“Kuna wimbo tumefanya pamoja, wimbo umefanywa chini ya S2kizzy hivyo naamini muda ukifika utatoka tu ila nachojua ni wimbo mkali, kuhusu jambo ambalo limetokea,” amesema Bill.

Rapper huyo ameongeza, “Kuhusu mimi na yeye tayari nilishaomba radhi kwa wananchi na sasa maisha ya kawaida yanaendelea, hivyo hatuna tofauti yoyote ile kwa kuwa yule ni rafiki yangu na nina iheshimu sana familia yake akiwa pamoja na mama yake kwa kuwa ni mtu ambaye amekuwa akijitoa sana kusupport kazi za mwanae

POPULAR EXCURSIONS IN ZANZIBAR ISLAND

Safari blue is the most popular excursion in Zanzibar Island, it's a full day sea Adventure with lunch, snorkling, and enjoying the ...