Saturday, May 5, 2018

KINACHOENDELEA MATIBABU YA MZEE MAJUTO INDIA


Habari zilizotufikia zinaeleza yakwamba Mzee Majuto muigizaji maarufu hapa nchini yupo India kwaajili ya matibabu

Mzee Majuto alipelekwa India kufuatia Hali yaku kua mbaya,  alifanyiwa upasuaji wa tenzi dume miezi kadhaa iliopita.

Kwa sasa Mzee wetu anaendelea visuri akiwa kwenye uangalizi mzuri wa madaktar huko India.

Kwa pamoja tumuombee mzee wetu apone haraka na arudi kwenye afya njema ili aendelee na shughuli zake za kujenga Taifa.

No comments:

Post a Comment

leave your comment

POPULAR EXCURSIONS IN ZANZIBAR ISLAND

Safari blue is the most popular excursion in Zanzibar Island, it's a full day sea Adventure with lunch, snorkling, and enjoying the ...