Friday, April 20, 2018

BREAKING NEWS: AGNES MASOGANGE AFARIKI DUNIA MCHANA WA LEO.


Habari zilizotufikia muda mfupi kupitia chanzo Chetu zinasema  video queen maarufu hapa nchini AGNES MASOGANGE amefariki Dunia katika hospitali ya Mama Ngoma.

Tutawajuza baadae kitakachoendelea

Mungu ailaze mahali pema roho ya Mpendwa wetu Amina.

No comments:

Post a Comment

leave your comment

POPULAR EXCURSIONS IN ZANZIBAR ISLAND

Safari blue is the most popular excursion in Zanzibar Island, it's a full day sea Adventure with lunch, snorkling, and enjoying the ...