Saturday, April 28, 2018

UDAKU/ GIGY MONEY AJIFUNGUA MTOTO WA KIKE


Msanii maarufu hapa nchini anaejulikana kwa jina la GIGY MONEY amebahatika kujifungua mtoto wa kike na ampa jina la Mayra.

Gigy ameongezea na kusema alipanga mtoto wake huyo ampe jina la Candy Ila aligundua majina mengi ya Candy huwaga hawana tabia nzuri.

Gigy pia alisema hata apewe milion 90 hawezi kumuonyesha mtoto wake sura hadi atimize arobaini.

Hongera Sana Gigy.

  Visit: zanraha.com

BREAKING NEWS/ ABASS KANDORO AFARIKI DUNIA


Aliewahi kua mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam,Arusha na Mbea Mzee Abass Kandoro amefariki Dunia.

Mzee Kandoro Amefariki Dunia usiku wa Tarehe 27 April 2018 katika hospitali ya Muhimbili alipokua amelazwa.

Tutawajuza kitakachoendelea baada ya taratibu za mazishi kutolewa

Uongozi na timu nzima ya The nature inatoa pole Kwa familia ya Mzee Abass Kandoro na Taifa zima Kwa ujumla

Mungu ilaze mahali pema roho ya mzee wetu marehemu Abass Kandoro Amina.

Friday, April 27, 2018

SIRI KWA NINI DIAMOND PLATNUMZ AMECHAGULIWA KOMBE LA DUNIA

DIAMOND PLATNUMZ

Mara nyingine labda watu wamekuwa wakijiuliza kwanini Diamond achaguliwe katika Kombe la Dunia kuiwakilisha Afrika na wala sio wasanii wengine waliopo Afrika, mbona kuna wasanii wengi tu wakubwa mbao wamekuwa wakifanya vizuri sana lakini hawajachaguliwa mpaka amechaguliwa Diamond.

Raia mmoja kutoka Afrika Kusini ambae ni mdau mkubwa wa muziki barani Afrika anafunguka na kusema kuwa yeye ndiye aliyepewa jukumu la kutafuta wasanii watano kutoka Afrika watakao shiriki kutengeneza wimbo wa kombe la dunia na kutokana na vigezo alivyo kuwa navyo Diamond haikuwa rahisi kuacha kumchagua.

Tim Horwood anasema kuwa Diamond ni moja kati ya wasanii waliojenga ngome kubwa sana barani Afrika kupitia muziki wake kiasi kwamba hata alipopewa kazi hiyo hakuweza kuacha kumfikiria Diamond Platnumz.

Thursday, April 26, 2018

UDAKU/ HUKO INSTAGRAM HAKUFAI WEMA AMPOROMOSHARE MATUSI SHABIKI WAKE SIO YA NCHI HII ZARI MCHEKA.


BREAKING NEWS/ LADY JAYDEE AMEFIWA NA MAMA YAKE MZAZI

Lady Jaydee

Msanii wa muziki wa bongo fleva hapa nchini Lady Jaydee alfajiri ya leo tarehe 26/4/2018 amepata Msiba wa mama yake mzazi.

Msiba upo nyumbani Kwa marehemu jijini
Dar es salaam,
Tutawajuza kitakachoendelea kwa taratibu za mazishi baada ya ndugu na familia kutoka tamko ya kitakachoendelea.
Uongozi na timu nzima ya The nature inatoa pole Kwa familia ya lady jaydee

J.P.MAGUFURLI ANAONGOZA SHEREHE ZA MUUNGANO HUKO DODOMA

JOHN POMBE MAGUFULI

Leo tarehe 26/4/2018 ni siku ya maadhimisho ya muungano wa Tanzania ambapo Tanganyika na Zanzibar ziliungana na kujenga nchi moja ambayo ni Tanzania.


 Raisi John Pombe Joseph Magufuli ambae ndie amiri jeshi mkuu yupo huko akiwa ni mgeni rasmi.

Tuesday, April 24, 2018

HARMONISE AJIBU KWA NINI HAKUMSALIMIA ALI KIBA KWENYE MSIBA


PICHA/ KIMENUKAA MAANDALIZI YA TAREHE 26 APRIL 2018


Taharuki imetanda Mkoa wa Kilimanjaro, hiki ni
kikosi cha kutuliza hasia kikionyesha utayari wake
kwaajili ya maandamno yaliopangwa kufanyika
tarehe 26 April 2018 hapa nchini Tanzania.


Huku serikali ikiwa imetangaza kutofanyika 
Maandamano ya aina yoyote hapa nchini baada ya wananchi kupata hofu kutokana na taharuki hiyo kamanda wa polisi mkoani humo akatoa tamko ya kwamba hiyo ni hali ya kawaida kwa jeshi hilo. 
Nakueema ya kwamba jeshi hilo lipo kwenye mafunzo ya vitendo Kwa sasa.

MZEE MAJUTO AZIDIWA APELEKWA TENA HOSPITAL


Leo April 24, 2018 Muigizaji na mchekeshaji mkongwe nchini ndani ya Bongo movie  Amri Athuman ‘Mzee Majuto’, amelazwa tena katika Hospitali ya Tumaini jijini DSM, baada ya kuzidiwa.
Akizungumza akiwa katika hospitalini hapo MzeeMajuto amesema kidonda alichofanyiwa upasuaji kimeleta shida, hivyo yupo hapo kwa ajili ya uangalizi zaidi.
Visit: zanraha.com

Monday, April 23, 2018

PICHA/ MAZISHI YA AGNES MASOGANGE YAMEKAMILIKA








Hatimae mazishi ya aliekua Video vixen Agnes Gerald Masogange yamekamilika hapo nyumbani kwao Mbea

Hizi ni baadhi ya picha zinazoonesha nyumba yake ya milele.




Hii ndio nyumba ya milele ya Agnes Gerald Masogange.

Taa ya milele ikuangazie Agnes Gerald Masogange..Amina.

PICHA/ MWILI WA MAREHEMU AGNES MASOGANGE UMEWALISI TAZANA NYUMBA YAKE YA MILELE


Mwili wa marehemu Agnes umewasili nyumbani kwao Mbea teari kwa mazishi



Hapa ndio itakua nyumba ya milele ya Agnes Masogange.

PICHA/ TAASWIRA NZIMA YA KINACHOENDELEA NYUMBANI KWA MAREGEMU AGNES GERALD MASOGANGE


Hawa ni baadhi ya ndugu na jamaa wa marehemu wakiwa na sura za majonzi.


Waombolezaji nyumbani Kwa marehemu.
Hawa ni ndugu,jamaa na marafiki wa marehemu.

Wasanii mbalimbali akiwemo Dogo janja

Hii ndio nyumba aliokua akiishi marehemu Agnes Gerald Masogange enzi za uhai wake.

Mungu ailaze mahali pema peponi Amina.

HUYU NDIE MTOTO WA MAREHEMU AGNES MASOGANGE

Huyu ndio mtoto wa marehemu Agnes Gerald Masogange ambae anasoma darasa la saba.

Na huyo alienae hapo kwenye picha ni baba wa mtoto huyo ambae alikua mume wa Agnes Masogange walitengana miaka kadhaa iliopita.

Sunday, April 22, 2018

BREAKING NEWS/ MSANII WA BONGO FLEVA AFARIKI DUNIA


Msanii wa bongo fleva maarufu Kwa jina la JEBBY amefariki dunia Leo tarehe 22 April 2018

JEBBY atakumbukwa sana kwenye wimbo alioshirikishwa na Afande Sele unaoitwa SWAIBA.

Pia JEBBY alitamba Sana na wimbo ulioitwa STORY YA KABINTI.

Taarifa za awali mwili wa marehemu upo Dodoma tunasubiri taarifa za ndugu na familia yake kujua nn kitaendelea.

The nature na team nzima inatoa salamu za pole Kwa familia ya marehemu JEBBY.

Mungu ailaze mahali pema roho ya mpendwa wetu JEBBY. AAMINA

RAMMY GALISO AZIMIA MSIBANI


Aliewahi kuwa na mahusiano na marehemu Agnes Gerald Masogange ambae pia ni muigizaji wa bongo muvi azimia katika kuuaga mwili wa marehemu Leaders

Rammy Galiso alijikuta kuishiwa fahamu ghafla kwenye kuuaga mwili wa aliekua mpenzi wake Agnes Gerald Masogange.

Mungu ilaze mahali pema roho ya mpendwa wetu Amina.



VIDEO/ KUUAGA MWILI WA MAREHEMU AGNES GERALD MASOGANGE

Video kutoka Leaders ikionyesha kuuaga mwili wa marehemu Agnes Gerald Masogange kuelekea Mbea kwa taratibu za mazish.

Pumzika kwa amani Agnes Gerald Masogange Amina!

The nature : DIAMOND & ALI KIBA MEZA MOJA LEADERS KUUAGA MWILI ...

The nature : DIAMOND & ALI KIBA MEZA MOJA LEADERS KUUAGA MWILI ...: Leo tarehe 22 April 2018 ilikua ni siku ya kumuaga mpendwa wetu Agnes Gerald Masogange kuelekea Mbea kwaajili ya kupumzika kwenye nyumb...

DIAMOND & ALI KIBA MEZA MOJA LEADERS KUUAGA MWILI WA MAREHEMU AGNES GERALD MASOGANGE


Leo tarehe 22 April 2018 ilikua ni siku ya kumuaga mpendwa wetu Agnes Gerald Masogange kuelekea Mbea kwaajili ya kupumzika kwenye nyumba yake ya milele.

Katika ushirikiano mkubwa waliouonyesha wasanii wetu wa bongo muvi & bongo fleva ili kuhakikisha shuguli nzima ya kumuaga mpendwa wetu inakamilika kwa ushirikiano mkubwa bila kuonyesha tofauti yoyote Ile hata kupelekea Diamond & King Kiba kupeana mikono kwa ishara ya Amani na upendo wakiwa na hisia zote za kumaliza tofauti zao.

Hakika Mungu huwa anamakusudio yake kwa kila Jambo ambalo yeye amepanga litokee!

Pumzika kwa amani mpendwa wetu na taa ya milele ikuangazie Agnes Gerald Masogange.

ZANZIBAR HAS THE BEST BEACH AROUND THE WORLD






        Go go go to Zanzibar don't even think twice

Zanzibar has the most beautifully & natural beach around the world.

If you are looking for the place for the beautiful & natural beach to experience your self don't even think twice Zanzibar is the solution with www.zanraha.com

There you will experience a lot from the natural
Beach, see the reality of Island, blue sky always present, beach always clean you can swim any time you need, always will find something a wonder & attractive things when you walk around the beach.

People around the beach always friendly and helpfull there you will have a warm welcome with full of really smile that you ever experienced before.

The sun is always present, the best sunset ever seen will find in Zanzibar.

What are you waiting for if you what to feel the test of paradise? www.zanraha.com will give you unforgettable memories for guiding you for your adventures on Zanzibar Island.

Most welcome to Zanzibar Island and make www.zanraha.com to be your choice rider, we always care your feelings & your expectations

Asante sana (hakuna matata Zanzibar).


   

POPULAR EXCURSIONS IN ZANZIBAR ISLAND

Safari blue is the most popular excursion in Zanzibar Island, it's a full day sea Adventure with lunch, snorkling, and enjoying the ...