Tuesday, April 24, 2018

PICHA/ KIMENUKAA MAANDALIZI YA TAREHE 26 APRIL 2018


Taharuki imetanda Mkoa wa Kilimanjaro, hiki ni
kikosi cha kutuliza hasia kikionyesha utayari wake
kwaajili ya maandamno yaliopangwa kufanyika
tarehe 26 April 2018 hapa nchini Tanzania.


Huku serikali ikiwa imetangaza kutofanyika 
Maandamano ya aina yoyote hapa nchini baada ya wananchi kupata hofu kutokana na taharuki hiyo kamanda wa polisi mkoani humo akatoa tamko ya kwamba hiyo ni hali ya kawaida kwa jeshi hilo. 
Nakueema ya kwamba jeshi hilo lipo kwenye mafunzo ya vitendo Kwa sasa.

No comments:

Post a Comment

leave your comment

POPULAR EXCURSIONS IN ZANZIBAR ISLAND

Safari blue is the most popular excursion in Zanzibar Island, it's a full day sea Adventure with lunch, snorkling, and enjoying the ...