Taarifa iliotufikia hivi punde inasema, video queen maarufu hapa nchini Agnes Masogange
amefaiki Dunia hii leo tarehe 20 April 2018 mchana kwenye hospitali ya Mama Ngoma
Chanzo kinasema Marehemu alikua akisumbuliwa na ugonjwa wa Pumu hivyo baada ya kuzidiwa marehemu alifikshwa kwenye hospitali hiyo na ndipo mauti yalipomfika
Mwili wa marehemu upo kwenye hospitali ya Muhimbili ukisubiri ndugu na jamaa kutoa ratiba za mazish
Tutawajuza kitakachoendelea baada ya ndugu kutoa taarifa ya kitakachoendelea
Uongozi wa The nature na team nzima inatoa pole kwa ndugu na familia ya marehemu.
Pumzika kwa amani AGNES GERALD MASOGANGE.
No comments:
Post a Comment
leave your comment