Mzee Kandoro Amefariki Dunia usiku wa Tarehe 27 April 2018 katika hospitali ya Muhimbili alipokua amelazwa.
Tutawajuza kitakachoendelea baada ya taratibu za mazishi kutolewa
Uongozi na timu nzima ya The nature inatoa pole Kwa familia ya Mzee Abass Kandoro na Taifa zima Kwa ujumla
Mungu ilaze mahali pema roho ya mzee wetu marehemu Abass Kandoro Amina.
No comments:
Post a Comment
leave your comment