Leo April 24, 2018 Muigizaji na mchekeshaji mkongwe nchini ndani ya Bongo movie Amri Athuman ‘Mzee Majuto’, amelazwa tena katika Hospitali ya Tumaini jijini DSM, baada ya kuzidiwa.
Akizungumza akiwa katika hospitalini hapo MzeeMajuto amesema kidonda alichofanyiwa upasuaji kimeleta shida, hivyo yupo hapo kwa ajili ya uangalizi zaidi.
Visit: zanraha.com
No comments:
Post a Comment
leave your comment