Thursday, April 19, 2018

HARUSI YA ALI KIBA KUMUINGIZIA ZAIDI YA MILION 600 HUKU AZAM TV KUMLIPA MILION 200 KWA KUONYESHA HARUSI YAKE LIVE.

Msanii wa BongoFlavour @officialalikiba Kuvuna mamilioni mwezi huu.
AzamTv wamenunua rights za kurusha Harusi ya Alikiba. Worth deal ni more than 90,000$, zaidi ya Million 204,331,500.00 Tsh.
Harusi ya kwanza Mombasa tarehe 19, mapokezi Dar tarehe 29 April.
Hakuna chombo cha habari kingine kitaruhusiwa hata kupiga picha! Mambo yote yataripotiwa na AzamTV.
Mbali na hayo, Tayar makumpuni makubwa 19 ya East Africa yameingia mkataba wa ku-finance Harusi hiyo, kitu ambacho kinakadiliwa kwa Msanii huyo kutengeneza more than 600 Million Tsh just kupitia matukio ya harusi yake.
Hii ni ishara tosha ya kupanda kwa thamani ya Wasanii wetu, Mziki unakuwa sawia na economic profiles zao

No comments:

Post a Comment

leave your comment

POPULAR EXCURSIONS IN ZANZIBAR ISLAND

Safari blue is the most popular excursion in Zanzibar Island, it's a full day sea Adventure with lunch, snorkling, and enjoying the ...