Thursday, April 19, 2018

LEO TAREHE 19 APRIL 2018 ALI KIBA AMETOA SIRI NZITO SANA JUU YA NDOA YAKE


Leo tarehe 19 April 2018 ni ni siku muhimu sana kwa sta wa bongo fleva Ali Kiba ametoa siri kubwa sana  King amesema..........
siku ya leo na kusema kuwa ni siku ambayo baba yake pamoja na mama yake walifunga 
pingu za maisha ambapo na yeye siku hii amefunga ndoa na mke wake Amina Khalef Ahmed Mombasa nchini Kenya.
Siku hii inaonekana ni kuwa ya furaha kwa Ali Kiba kutokana na kufunga ndoa siku inayofanana wazazi wake na hivyo kuandika hayo kupitia ukurasa wake wa instagram.
>>>“Siku ya leo Ndio Siku Mama Yangu Na Baba Yangu walifunga Ndoa ALHAMDULILAH #KingKiba”

No comments:

Post a Comment

leave your comment

POPULAR EXCURSIONS IN ZANZIBAR ISLAND

Safari blue is the most popular excursion in Zanzibar Island, it's a full day sea Adventure with lunch, snorkling, and enjoying the ...